| This year |
Mwaka huu |
| My birthday is in June this year |
Siku yangu ya kuzaliwa huwa mwezi wa Juni |
| There are elections this year |
Kuna uchaguzi mwaka huu |
| Next year |
Mwaka ujao |
| Next year in September the rainy season will start |
Msimu wa mvua utaanza Septemba mwaka ujao |
| Next year I will visit you |
Nitakutembelea mwaka ujao |
| Last year |
Mwaka jana |
| Last year Gambia played badly against Mali in Bamako in February |
Mwaka jana mwezi wa Februari Gambia ilicheza vibaya dhidi ya Mali huko Bamako |
| Last year my son graduated from the University of Gambia |
Mwanangu alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha Gambia mwaka jana |