| Where? | Wapi? |
| Where is Maria's house? | Nyumba ya Maria iko wapi? |
| Where is this? | Hapa ni wapi? |
| When? | Lini? |
| When is Philip coming? | Philip anakuja lini? |
| When will you travel? | Utasafiri lini? |
| How? | Vipi? |
| How can I get to Goma? | Nina wezaje kufika Goma? |
| How is your brother? | Ndugu yako vipi? |
| Which? | Ipi? |
| Which land is mine? | Ardhi yangu ni ipi? |
| What? | Nini? |
| What did you do? What have you done? |
Ulifanya nini? Umefanya nini? |
| Who? | Nani? |
| Who is the traditional leader of this village? | Kiongozi wa jadi wa kijiji hiki ni nani? |
| Who did this? | Nani alifanya hivi? |
| Why? | Kwa nini? |
| Why did he do this? | Kwa nini alifanya hivi? |
| Why is there no food? | Kwa nini hakuna? |
